Niko na 10 units one bedroom nakuru hizo side za Whitehouse. Nilikua nalipisha 12k but from last year October nikaongeza tu 13k. The reception was not well wakahama 5 units.
Around November solar water pump which had served us for a while ikalipuka. We called a fundi, he did repairs na tukareplace batteries and we ended up spending almost 40k(more than 3/4 rental collection that month).
Weekend care taker akacall ati imelipuka Tena. Sunday nmeenda na fundi and he has recommended we source for a new one.
Kenye itaniokolea ni jaruo flani hapo hulipa rent ya mwaka mzima at the beginning of every year. Btw sijai jua anafanya job gani cz he is ever traveling.
So we have placed an order na almost 100k itakunywa maji hivo.
Kama hii ndio itakua trend return on investment itakua nil.
Siezi hurumia landlord. Mlikua na kiburi sana especially after PEV mkadhania the good times will roll forever. Kuleni ujeuri wenu. Sahii ni mtulie sisi tenants tuwapange, ndio ile kitu tunaitwa wapangaji.
Kuna time karibu nikuwe slum lord nika ona hiyo vita siwezani ! even agents hire other specialized agents to deal with ploti folk ! upuzi ikona hao watu wacha tu ! Mambo yaku ngolea watu mlango namabati niliona siwezi ! nawa shenzi kutupa takataka kwa choo eg viatu pieces of matresses mpaka watu wa honey sucker wana sema hio kazi hawafanyi !
after research nika sema wacha pesa ikae money market !
Nili kuja kuona afadahli nyumba moja ya nguvu where you deal with one well to do tenant akona steady income , but never rent out to a lawyer or politician esp the former !
I discovered that it’s better to have a few luxury rentals than 10+ low income. Watu maskini hupenda kusumbua sana! Sasa watu wanahama because of 1k increment? I have a few luxe rentals and my tenants always remit rent before the 1st of every month. Quality>>>>Quantity.
Makosa kubwa. Rent unaongezea new tenants sio wale wa kitambo. Something else, before uongeze rent, chunguza the surrounding market vile iko. Huwezi weka 13k na pengine kuna new houses at the same rate. I hope you have learnt your lesson. A unit that stays empty for one month represents lost income you will never recover.
Why do you need to go Solar in a place i assume is well served by kenya power? In my opinion go kenya power pay 2-5k monthly bill for the water pumping.