Leteni mawaidha wadau
If huna shamba ya minimum 50 acres, wachana tu nayo, especially now everyone and their grandma is doing it ndio shamba ikae iko utilised..by telephone farmers
Tafuta super napier. Though kama ni arid areas boma rhodes ni sawa.