Biashara kidogo ya laptops

Kama kuna mtu anadeal na laptops kwa hii kijiji sana sana hp elitebook 6930p anaweza niona kado tuone kama tutasaidiana.

Naeza pata moja…mangapi???

unauza aje, can you get more?

@mzeemzima unaitiwa pesa