Not going well
2-0
Penda sana
Lukaku
rusheni links
goooL
[MEDIA=twitter]1031196321590509568[/MEDIA]
Hujuma
:D:D jirani anapiga nduru ni kama wagondi wamemvamia. Poor ManU fans.
game ni 93
MMMM MMMM
kamuliwa kabisaa. @MeriaMata aka meria mai team yako inatolewa nguo.Mcheka kilema hafi bila kumpata na pia ukiona cha mwenzako chanyolewa tia maji.
Unakumbuka haka kateam kaliuma Wenger 2-1 kwenye huu uwanja?:D:D Na bado kakauma Man U…Kateam kichwa sana…
Well played Brighton, united have lots of work to do. The road ahead is long
Si wakina Harry kane watawakamua kabisa next weekend:D:D
Last season si ni hawa walichapa manchieth both home and away? Correct me if am wrong
Penalty
A very tired performance, if that makes any sense…
Mimi sasa nimesema mourinho akanyange nje. This is just pathetic.
Apana, haikuwa haka…
wajaka wanachapwa pale Rwanda cc: @Mathaais
[ATTACH=full]189013[/ATTACH]
Pundit @spear kuja pea sisi post match preview .:D:D