Beware!!!! Pombe fake pale SJ

Kuna weekend moja nimeenda SJ kusafisha rungu. When i got there nikapata ngoma na ambient ilikuwa poa. So i decided to grab a drink huku nikisafisha macho. So nikaenda kwa counter nikanunua Smirnoff black ice ya chupa. Just wanted something light. When the guy opened it sikusikia ile pressure hutoka chupa ikifunguliwa (kale ka psss). Nikalenga. Nikaenda nikakaa chini. Started drinking …few sips niko zile za…hii gauge haionji normal. Haina ile carbon huwa kwa smirnoff. Pia iko tu flat kiasi. Ndio nikaangalia chupa kwa makini. Nikapata the branding stiker was tampered with. The old stiker had been removed then a new one placed in its place. Niliona zile gum hubaki kwa chupa ukitoa sticker ya jina ya pombe. Nikaamua siikunywi tena. Nikaenda nayo kwa cashier mwenye aliniuzia. Nikamshow hiyo pombe ni fake. Jamaa akajifanya sijui chenye nasema. Ndio nikamshow my observations. Of course akaanza kuchacha blah blah blah. Mimi sipendi dramas za bar especially when am mongering alone. So nikamwambia aniwai guarana ya can. Kitu sealed. Thats what i drank all night. Nilirudi na pombe fake nikawekelea kwa meza and started ordering new ones while the fake sat there. Kunguru moja ilikuwa inani observe ikakuja ikaketi karibu na mimi. Ikanishow aliona the whole scene na kwanini sikunywi hiyo Smirnoff iko kwa chupa. Ndio nikamwambia ni fake and showed her how i know its fake. Akatingisha kichwa akasema ati no one else has ever noted the fake drink na amenitolea suruali (show of respect). She took the fake drink and started drinking it. Who knows what was in that drink…i think ukikaa mpya some places wanajaribu monkey businesses. Noma sana Nairobi

[MEDIA=giphy]5qFQhkgXQ3XQKb1x5h[/MEDIA]

Shamba la mawe my fren

Shida yako ya kwanza.

Boss umeniangusha unakunywa aje Smirnoff ice na Guarana? Kwani wewe Ni Dem Ama homo? Ni vile nakujua otherwise ningesema gayyyyyyyyyy. Wacha Hizo , usiwai sema unakunywa vitu Kama Hizo in public, unge substitute na Guinness na gibleys ukiongea in public

Your are naive.

Mwanaume mzima unakunywa drinks za madem?!

Smirnoff ice
[ATTACH=full]285423[/ATTACH]

Boss endelea kujibamba, maisha ni mafupi unless you are nyayo.

mahali kama SJ siezi kunywa kitu yoyote inanilewesha…

Smirnoff ice is the gayest drink, mbona hukunywi gibleys? Ama FAXE? hizi shida za erectile dysfunction hungepata.

Black Ice na Guarana? ulikua umevaa thong ya pink ama?

@MTINGIZA KITANDA!!! Did you screw the kunguru? Hiyo ndio hekaya tunataka sio mambo ya black ice

That was the main plan of going there. Lazima nilinyorosha yeye

Shida siwezangi kudanganya mimi nawapee hekaya vile iko. No sugarcoating to make things better. Pombe nayo nakunywa…na sichagui. Angalia hii mambo hapa…hii ni ya kutuliz nikiwa kejani[ATTACH=full]285541[/ATTACH]

What makes you think am naive my friend. Unafaa unijue in real life. If i was naive how was i able to identify a fake drink? Mafi ya punda

Mchagua jembe si mkulima. Nakunywa chenye nataka. Goal ni kulewa…hata busaa mimi hukunywa…warangi, tembo, muratina…zote. pole niteveve

Aim ilikuwa kulewa. Na sichagui pombe. Na sibadilishi hekaya ndio nifurahiye villagers. I don’t live a false life

Wanaume hukunywa Black Ice na Guarana SJ ni wale huuza kunyi.

Theres some people dont think in their own.
Wanafata mkumbo tu. Thoug i dont drink guarana or smirnoff ice kwani whats wrong with it. Pombe ni pombe you choose what taste good for you