Beware of this town!

[ATTACH=full]281769[/ATTACH]

Kwani alibeba viatu zote? Either hii ni story of giants or that guy is super stupid.

It seems he carried the pair

Soksi bila viatu, welcome to club ya wazimu

[ATTACH=full]281772[/ATTACH]

hii nairobi siezi hurumia mtu am as cold as stone. the guy probably thought anajenga huyo shoshinner.hata nione mtu anakufa siezi saidia because it will be a door for them to dupe me

These used to be a common trick in the Nyayo era when the economy was in the doldrums. Ukiona wezi wakiiba viatu mzee jua ni kunoma.

Kiatu ya over 3000 ikiwa mpya don’t take to a shoe shiner ama ainukishe kitunguu. I thought this was general knowledge.

live and learn

Nairobi is a sh!t place…am sure uyo ameibiwa saa ii ata aone mtu akilia tao hawezi ata mwangalia

Sasa mnafanyiwa ivi Nairobi na bado mko na guts ya kutuita wasee wa ocha