https://twitter.com/jaredadcrypto/status/1719640543179739456?t=FGfpbwPeip56vjI5BPA89A&s=19
@Agwambo Edit kiasi na uwekelee inheritance
1 Like
Nilihamia aviator mkuu.Sato niliwekelea 2500 nikakula 16k kabla rubani akanyange mafuta.Bet za ball sikuizi ni ovyo.
1 Like
Aviator ni kama kucheza Russian Roulette. That thing can give you a heart attack
Najua saizi ulirudisha zote. Toroka hizo vitu elder.
Enigma is a responsible gambler.Budget ya gambling kwa mwezi ni 8k na napatanga positive return on investment always kama investor.The only bad month this year was February.
1 Like