BETRAYAL IN THE CITY....

Hii mambo imeniwasha sana…sitataja majini ndio hii post isivsmiwe na wafuasi wa CORD na JAP…na nitaongea sheng ile yote najua…

Sasa imagine mtu hata humjui kutoka Ocha kwenu ame book ka appointment kwa offe…sijui mamake alikuwa Shule moja na mamako…ufala tu…amechapa kiasi biz Zake haziendi poa…anataka tu break kiasi apate tender za job kwenu ajiinuwe…since unaona enyewe huyu msee anakaa mjanjez unamshow sahii haiwezekani lakini kuna ma prospects zina muja utamchapia ziki Ivana…Hasss mna exchange numbers na umeshow utaongea na mabeste arushiwe kakitu…

So Lito by Lito unamhelp kampuni yake inakuwa pre qualified anaanza ku supply my stationery na vitu ndogo ndogo…

Mungu anakuonekania na unaangukia promotion joma ya vungu…na sasa wewe ndio kusema…na since wewe ni msee wa roho poa hausahau watu wa Chini…unampiga jack ya capital afungue oficy tao…kui furnish, kuchora watu job…mnafungua ma kampuni kadhaa…and soon biz inakuwa poa…man tender za nguvu ndio Zenu…mna share profits poa tu…doo mingi…ma ndae za nguvu anabuy…ma nyumba na ploti…holidays za majuu…watoto private schools…investments kibao…Maisha poa

Kawaida na mambo ya ma tender compe ni Noma…kila mtu anataka…sa ka blunder kana tokea…na investigation hivi…sa unamshow we Tulia na hii noma…uskonde hawa ma Gova nishawaingiza box…Tulia tu hii noma itaisha na mambo itarudi kuwa sawa…hata kama ni Kesi…tutakulipia mpaka bail na bond na mambo ya lawyer wewe usiwe na was…

And true unabonga na ma wadosi Gova na hii noma inakaa kuishs hata Kesi inapelekwa hivi hivi…Lawyer ready…Hela ziko poa…hakuna evidence…bond ishalipwa…Ma plain kila siku wanakuja home kumuona kucheki Kama yuko poa na ku show vile Kesi inaende…

Then KABOOM…Ka mtu anaenda kupayuka kila kitu…hii ni ungwana kweli??

12 Likes

Na kwa hii story yote sasa @admin please intervene on my behalf niingizwe telegram…moral of the story usiwahi saidia maskini wacha they struggle huko mbali

8 Likes

mafia call it breaking the omerta code of silence

1 Like

…akiyanani hapo hakuna kaungwana hata kanusu

1 Like

[ol]
[li]In the first place you must understand that they were poor for a reason!!![/li][li]Crime doesn’t pay![/li][li]Sheng yako inatishia ya @Jirani [/li][/ol]

3 Likes

kwani hujatajiwa eti telegram unasema nami? Mimi ndo mwenye hiyo taji.

:eek::D:D:D:D:D… Waaah!!! I didn’t expect that from you… io part telegram i didnt not see it coming…:smiley:

1 Like

Na ni venye tu mi husema. Ukinisaliti. Lead.

(Lead ni metal component)

1 Like

Thats why I say ------> Always play it clean. Hii maneno ya uangamizi ni ngori (Hata mimi nimeleta sheng ya murang’a)

4 Likes

Naona baada ya kujaribu kufilisi county ya Machakos na kupigwa chenga sasa campaign unafanyia Cord. Mutua alisema halipi ma tenderpreneuer fake na akasimama na huo msimamo. Sasa kwasababu alienda Jap ni wakati wa kupaka wana Jap matope kabisa eeh. Hiyo story ya Waiguru unajaribu kuifanya mainstream sana as if hatujui how politics are played. Tumekuonea mbali sana. Tuko ten steps ahead of the game.

3 Likes

Its a man eat anothers world!

1 Like

Hakuna siri ya wanawake wawili.

8 Likes

Hii sheng nime practice kutoka Jana

5 Likes

Hii ndio mambo inafanya watu wanawekewa Lorry Thika road usiku…unakuja Kama umeingia nyuma na full speed

maybe ali realize ataanikiwa ngori yote…kwanza vile DPP aliingiza story za money laundering akaamua kanuke kote

Yes that was the whole point… saa ya ku enjoy ma millions alikuwa sasa ni time ya ku take the fall for your Boss bana…watu wanakuwa charged na DPP ni 11 hata PA wa Arap mashamba alikuwa hapo…innocents ndio wangeenda na hio noma yeye angetolewa tu…

Sijatajiwa kabisa…nimesema sasa

inbox handle yakwako

… utawezana na telegram?.. utajisugua sanaa ikuus halafu kuchubuka ndio nomaa zaidi… all tje best!

1 Like

Sheng mwitu lakini ume try msuss. Iko B.A

3 Likes