Mlisema hakuna mtu anataka kutungua betin shop sides za utawala?
Wewe fungua…
Why don’t you bet on the rains? upande tomato na kitunguu?
Buda just do the math ya commission. You’ll barely be breaking even. And when you make a profit, you’ll realise you’re better off doing something else.
Kwani hii biz haibakishi na vile nimeona zime funguliwa mingi
Noma sana. Saa hiyo KRA pia wako on your neck.
Si unatengeneza na unabakisha yao
ukitaka kuwahepa una inflate expenses. ivo ndo wasee wengi hu evade taxes.