[MEDIA=facebook]1447279502262775/posts/2375643062759743[/MEDIA]
hii ni ile mbwa ya kutuma fare na matress halafu inapigwa na baridi mpaka asubuhi huku kunguru inaskumiwa mucakwe na ndume ingine?
Ni hiyo
Hii kunguru iko na forehead kichwa nusu… I think hii ninja huwaga hadi medulla oblangata apo juu. Anaona ikimtoka ameisha.
Hiyo ni trademark ya shiny eye upara ndizo zao
:D:D:D ni ule ule na zile soo mbili alipewa aende “saron” naona alijipeleka
huyu haikosi ni @MikeOck
Sweetheart and betrayal in one sentence :D:D:D… Hizo vidole mbili atachill sasa… :D:D:D
Mavi ya kale hayaachi kunuka, For now mapenzi inashika kushika. Wait after 1 month…Old habits die hard plus mistrust. Ni kunasty