Bet Yangu ya Leo

[ATTACH=full]99584[/ATTACH] Ps: Place the bet at your own risk, ukiwekelea izame usije kulialia hapa ati ooh Mundu you misled us, oooh bei ya unga, oooh sukari imepanda, oooh sijui nini nini.

6 Likes

Mtu anaeza bet kende yake moja akishindwa mfanane??

1 Like

Kitu ya maana ni threshold, niko na moja lakini threshold nafikisha, jana usiku nilifikisha threshold sana tisa, na asubuhi saa moja nikampatia moja bonus. Sahii she is very happy, anaosha nguo na ninekaa kando listening to West Safari ya Africa.

8 Likes

Sawa kendemosi

3 Likes

Peasant mluhya unawekelea kitu haiwes lewesha alafu warning mingi I’ve? Meffi in my eyes. #bring back jigranny

Utakojoa Russians score less goals

Wewe weka yako tuone bass

Kick off time ni gani

Only the first one turned out correct

1 Like

Tom tomsk ni kichwa sana, huwa haifikish(w)i threshold ya o2.5 viiiiile…
heri ujaribu NG

Spoke too soon,Tom Tomsk iko ndani

1 Like

Alikupikia mulenda ?