Hii week itakua ndefu
Siyuko job na siendi anywhere kazi ni kulewa na kungoja jan
siyuko ni nini?
3 Likes
Ni venye watu husema from certain regions za kenya
ooooooo o, kumbe? sehemu gani hizo?
Waendelea kuiharibu lugha!
Pia waweza rudi shule hio wiki badala ya kurewa hofyo hofyo
Ni uluhya.
hiyo pombe called best ni changaa tu, wah. But affordable @555/= nakumatt for a mzinga. Kunyweni kabisaaaaaaaa!!!
he he he
…Kisumo citeh !!!