I think it is time to upgrade from my Jalopy. Nataka kuanza window shopping ya offroad vehicle, a cheap one ya mtu anajijenga…offroad vehicle ya first timer. I realized the jalopy fuel consumption ni kama ya harrier so I was thinking of a harrier because of the added advantage like ground clearance. Any ideas/advice from birrionaires?? Sioni haja ya jalopy ya 2500cc…so I need an SUV with a similar fuel consumption.
Following very closely
Niko na kajeep hapa. Katakusaidia?
[ATTACH=full]99200[/ATTACH]
Mazda Carol inaweza kuwa SUV, bora tu uijulie. So NUNUA MAZDA CAROL
jaribu mkokoteni!
Kweli wewe ni birrionaire. Unataka kununua SUV na bado kujenga pigsty. Nway, my best currently ni Mazda CX5, Hyundai Santa Fe na VW Tiguan.
[ATTACH=full]99201[/ATTACH] [ATTACH=full]99202[/ATTACH] [ATTACH=full]99203[/ATTACH]
Shamba ziko nikitaka pigstie nauza mbili najenga nyumba. Niko mid twenties so kuniambia juu ya kujenga pigstie saa hii ni tricky kidogo. Naanza hustle zitahitaji nikuwe offroad kidogo sometimes…na jalopy haisaidii…hizo suggestions zako nitapata mechanic grogon wewe
Uko mbele. Nikiwa mid 20s nilikuwa nakunywa keg pale Emirates
Halafu @Okiya hizo suggestions ni pocket friendly? It will be my first SUV so mfuko naangalia pia. Kitu below 2.3m
Nyuma ya Roasthouse?
2.3m utapata Tiguan na CX5. For Santa Fe itabidi uongeze kitu
Achana na Santa fe. Korean cars are cheaply built. CX5 is good and the awd had good rating. VW sijui juu yake.
Yeah. Na kula kuku za 30bob hapo next
In Yesterdays DN JMBaraza alisema Subaru Outback iko sawa, he especially recommended it for occasional offroad purposes.
Spares? I highly prefer machine sitakosa mech ama spares.
I like the santa fe. Ama hio pesa once a ikuwe 3m uchukue the latest Honda Crv, my dream one
Mimi pia nina history hapo. Inakaa rite of passage
My friend has an outback…I prefer my mark X to his outback. Kubuy outback ni kudowngrade from my position. Naangalia ground clearance sana sana juu nitaihitaji kusupervise projects ziko remote
About mech. Sikuizi si naonanga gari zinawekwa kwa computer na all defects zinajulikana? So iyo isikustue.