kama wewe sio mwanamziki hutaelew hii maneno…
who has the best signature intro…yani ukiskia iyo sound unajuwa ni yeye…
my all time favourite
1.Turbulance …(bwa bwa boom) uyu jamaa noma kwanza Ganja farmer
2.Richie spice (nana nana nana yee) concious artist richie…tangu enzi ya earth turn red…ukiskia nana nana unajuwa tu ni yeye
Munga (yes yes honorable) ukiskia tu yes yes unajuwa munga ndio uyo
4.busy signal (Hotted ) uyu boy noma ukiskia hotted unajua ako area
5.beenie man (zagga) tangu enzi za who got the keys to my bimma…aliperform BET all hiphop artist walibambika sana
6.Red Rat ( ooh No) tangu enzi za tight skirt…old skul ragga…iyo song ilitubamba sana 90’s
7.Elephant man ( Good to Go) king of dance
8.Sean paul (Duttiyeeee) sean paul hatawai isha always on top of his game
shabba ranks (Tinga linga ling) godfather wa dancehall…tangu enzi za bedroom bully…mabuda wetu walikuwa wanaimba sijui kama walikuwa wanajuwa meaning
10.General degree (ooh No) uyu alikuwa beste ya red rat he actully inspired red to do music…
11.Di Teacha aka Vybe Kartel ( Awouh) baddest dancehall artist has over 3000 songs…uyu msee ni multilanted in a week anatoa over 6 songs
12.Mavado ( gully god)
Alkaline ( youngest and di baddest)
5 Likes
Tommy nashuku we huwa music artiste ama msee wa tattoo. Anyway yangu ni “nefa saulo” , notnice, majorlazer, anjublacks, na kwa hip hop ni lex luger, mikewillmadeit, drumma boy, metroboomin
Tommy nashuku we huwa music artiste ama msee wa tattoo. Anyway yangu ni “nefa saulo” , notnice, majorlazer, anjublacks, na kwa hip hop ni lex luger, mikewillmadeit, drumma boy, metroboomin
mimi huwa vitu mingi hadi ngwati activist
kwa production napenda sound ya UIM records na TJ Records
hiphop Rozey ndio kusema na signature sound (Huh)
9 piece straight 8 balls
MJG bit*ch
na tuko tu pacho kwani boss iko nini
3 Likes
stunner
February 19, 2016, 8:40pm
5
mimi huwa vitu mingi hadi ngwati activist
kwa production napenda sound ya UIM records na TJ Records
hiphop Rozey ndio kusema na signature sound (Huh)
9 piece straight 8 balls
MJG bit*ch
We should direct a ngwati movie with locals
jomino ofcourse pia ilikuwa kali
V6 hunimaliza na iyo kicheko yake
Kantai pia noma nani G
mejja okwonko
kristoff pia noma mluya wa busia
bonnaye wa p unit noma pia…unachapa mtoto unamwamusha ngware…anaitisha fair ndio anende kawagware anatakaa fegi unampaa mpaka naree una una
best local song G Druff ni kwa sababu yako @Purr_27 wangu sasa amekuwa wako nilidhani mimi ni beste yako
3 Likes
m245
February 20, 2016, 3:09am
7
jah vinci (outcleaaaaaarr)
na hio ya spice ni earth-uh-run-red
Kuna pia ya ‘babs on the track eeeh!’ kwa ile song ya Chiwawa -Unafeel aje.
Hapana Vibes, mi najua OOOhhhh, halafu Phantun moja yake video huwa amebeba bag and hi kicks out doors everytime,
Old school, Barringtone Levi, wooooi, shubri dubri wooi,
Ikamouse, Shebedenge deng bang bang ba bang
@m245 jah vinci ile song yake draw da line hunimaliza
@old monk iyo pia kali
@ ombudsman babs sijui alienda wapi …kuna time alitusiwa kuwa ni homo ile beef ya chiwawa na abbass
lakini hawa wasee hutuenjoy ni mabeste damu
@Colombo-Combolo usibishane na msee wa gaza…zote ni signature zake…Awouh ndio anajulikana sana nayo
mimi sasa unataka nirudi Gulyside nini, mimi Gaza na sahii nimevaa clarks bila socks soma lebo[ATTACH=full]31728[/ATTACH] na staki matusi ya ngozi kama ya nyoka
1 Like
Kuna mjamaa anaitwa Sugar Roy ameimba ngoma mob na Conrad Crystal yake ni (cleear)
vuja_de
February 20, 2016, 10:22am
15
Yeahhhhh Boyyyyyy !!!
(Flavor Flav wa Public Enemy)
iyo collabo yao wawili hunibamba sana…cleear
halafu kuna boy alikuwa anaitwa micheal rose alikuwa na signature kali ( cant even spell vile alikuwa anasema)
guess who is coming to dinner natty dreadloc…
1 Like
1776
February 20, 2016, 3:58pm
17
buda, lotion je? ni kaa mia hivi