[ATTACH=full]92508[/ATTACH]
Hio imenijazz sana
Jifunze ku crop kwanza. Sio ile ya kulima lakini…:mad:
Shida iko wapi dada?
Hio ni sweep umepiga mtu hivo? hauna huruma.
[ATTACH=full]92575[/ATTACH]
hii imenimaliza :D:D:D:D
[ATTACH=full]92635[/ATTACH]
Jirani amepata sweep mbaya :D:D:D
[ATTACH=full]92708[/ATTACH]
Hii najua ni nani!
kumbe secrets imerudi