Best of KTalk 2015

Habari yenu wazito… I’ve been away, on and off on this site. Just moved to a country close to home and been trying to settle down.

So swali ni, which was your best hekaya of 2015, as in if @Tommy Lee Sparta was to actually publish his virtual magazine na aziweke kule ndani unaweza lipia.

Let’s share.

Meanwhile wish you all the best this year and soon I will be more active again,

@kush yule mnono , akiwank kwa bafu akichungulia matha mtu akioga, mlango ikafunguka wamatha wakamwona, akahama that same night. Lakini kush umehama nyumba ngapi hiyo mtaa ulikuwa

5 Likes

Forrowing

we did this just before the year died.
too late

kuhama ilikuwa tu ni mara hio wahed