Bongo flavour za Kwanza tukiwa wapienga…before wabongo waanze kulia lia Kwa Ngoma
Ingine bongo flavour Kaka brazah, iko wapi watu ya bongo
Mwanikumbusha mbali sana.
- Dar mpaka moro - Juma Nature aka TMK WANAUME".
- Hafsa ft. Banana zoro " pressure".
- Kwaherini kwaherini kwaherini " ferooz ft. Prof Jay"I know most 150/=s don’t like this.
4." Nakupenda Regina" Akil brain ft Steave 2k.
these were real bongo not hizi bullshit diamond anaimba siku hizi
Ukisema BEST unafaa kumention Juma Nature hapo hapo. Alafu akina Afande Sele, Professor Jay, Ngwair, Ferooz ukiendelea bro. Old school ndio bongo flava.