Nmeishi kudhani STL ndio best female mc/rapper in Kenya.Wapi.Kumbe kuna mama yao.Jana naangukia channel flani,nkaona some sort of cypher ama ntasema ni freestyle ya Shiko Femi One.Wololo!!!That lady was dropping rhymes kama America dropping bombs on Syria.She was rapping to beats zenye hata haungedhani zinawesmake.Songs from kina Kantai,pilipili,Esir,Busta-rhymes,Juacali.Infact i think she did every Calif recordrs song zile za early 2000s.Took 30 mins.Back to back,nonstop.This lady is talented.Hao wengine ni sura tu.Fullstop
https://www.youtube.com/watch?v=3JdfL_tE8SE
I agree …yuko juu headgear ya Manduli
Alafu pia…SHHHEEE CAAANNN GEERRRRRIITTT:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
“ma mcees wengine hawawezi deliver,
ovaries ninazo mi pekee” Shiko Femi One …anaspit kama cobra walai