Best exchange rates.

I’m looking for the best place to exchange EAC currencies. Elder do you know where I can get the best rates on KES to TZS, KES to UGX and vice versa.

Tafuta @johntez addi gaza msafi jambazi sugu akushow black market za ghetto eastlando. Chunga lakini ghasiaa inaweza kuchapa ngetta moja wazimu kuruka … na akushow “the easy way or the hard way morio” I suggest the former as a matter of survival. Dingo’s hatari sana huyo …

Enda pale karen

wapi specifically.

Hardy park…rates cheap

Enda hii Street hua na Trattoria…I think ni standard Street…kuna forever next to Trattoria, mid something…watakusort…ukikosa hapo uliza kwa hizo forex zingine kwa hio street. Kuna ingine kenyatta avenue ya wasomali nimesahau jina…very good rates…good luck finding them open sai

Good rates go to the Junction, Ngong Road…well, for dollars…