budget ni 1.5m, what is the best car for this price
Be specific , within that amount you can get a golf , a passo, note ,bongo,Biante , axela ,polo,porte ,sylphy,teana
Ni pesa yako ama ni ya loan?
Are you employed or business man?
Uko Nairobi ama gushagi ?
Are you married ama wewe ni mwenzetu AMG mboys?
Peugeot 308
Kama ni Mimi …ningenunua…2017 Nissan Note EPOWER…Haina gearbox Haina mashida ya CVT…it has an engine for charging batteries…gari inaendeshwa na motor pekee …ukiachikia mafuta, it brakes itself na inawasha brakelights bila kukanyanga brakes…so safe…halafu mafuta 40km/l…ukijudge na zile kilometers itaenda ikicharge battery.
Was looking for one too …niliipata CFS but zina demand kuruka hazikai…Bei 1.2M…elfu kumi chapa rivets na service using 5w 30 oil …300k chapa road trips …Mimi nimetoka maralal saa hii kujinyc…kuenjoy barabara mpya
Na kama sio wewe?
How is that brand new rumuruti - maralal Road? Uhuru alifanya kasi buana.
Niko na 1M will get a loan for 500k.
I’m a bachelor for life. In Nairobi.
Nunua Chinese SUV brand inaitwa Glory. Pale msa Rd. Gari brand new , uta toa makaratasi . Zero mirage . Piga nayo job after 5 yrs ataukipewa Soo sita chukua itakua ime kupea good service .
Iko smart sana …u will enjoy sana
Glory si 3M?
Kama Sio Mimi …nanunua Toyota mzee juu ya jina Toyota na juu ya resale value…:D:D:D
Ilifika huko lini , will confirm.
sounds like a good car
mtu hufika stage gani ya kiakili ndio anaunua hizi gari mbili
Chukua forester sh5 ama crv.
Kama proton basic ni 1.5m…glory na ni gari kubwa itakuwaje 1.5m?
Nunua allion hio gari ni mzuri ya mkulima mdogo kama wewe.
Very vague question. Ni gari ya biz ama personal?
personal
Chukua 900k. Enda mombasa kwa yard. Nunua vitz. Umesema wewe ni bachelor. You don’t need a bigger vehicle. Wacha kujiletea madeni bure gathee. That vitz will serve you well for five years bila stress. Usiwahi nunua personal car na loan buana…that’s how young men go broke.