Best Bread

Unaongea kuhusu mkate ya 1945 ukiwa highschool mzae?

Kenblest ilienda wapi jameni? anyway mimi iko na bibi anajua kutengeneza mukati nyumbani,nilikataa kupatia muhindi pesa yangu:):):):slight_smile:

If I was to paraphrase a famous quote ‘A KTalker shall not live in bread alone’

yep

https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn%3AANd9GcTGizpjyIb-3J0GFyMQ8aXEc3z_TGn1SQ5zlNhBowJR5bq9Trke

Kwanza ile boflo block haiko sliced…utamu huwa kuchuna na kukula…very fresh

mkate na chai nilitumia mwisho 2007

Na Elliot’s?

Sunblest made my childhood lit. Ilikua nkienda ocha lazima inunuliwe

Prestige
Supaloaf

Ensvalley.

But honestly what we call bread here in our beautiful country is a joke. Once made a visit to a bread shop somewhere in OXU, wacha tu. @Ka-Buda ama @Mrs Shosho mkiweza leteni picha