Wadau tusibishane this is the best bread ever [ATTACH=full]198628[/ATTACH]
Tafuta sledgehammer umuambie hivyo.
is it sugar, salt and gluten free?
is it kosher’ed ?
Nope
HAPANA
SUNBLEST Ile ya BOFLO!!! followed by UNITED. [SIZE=3]watu wa kisumu - Busia watajua[/SIZE]
Wewe inaonekana hajui sour bread ni nini…
Umeamua kupiga picha mikate ,ouru vat itatoa watu wazimu.
Ya zamani ndio ilikuwa tamu sijui kama ni vile nilikula nikiwa student…juzi kisumu niliiona kwa supermarket nika-buy nikakuta ni bread tu ya kawaida these days.
Pale mzansi there is all manner of jokes about mkate ya Woolworth supermarket retailing at equivalent of 520 shillings instead of 30 bob.
Mimi mwenyewe haven’t eaten bread for 1yr now…mwili imekataa…though Mimi nilikua mtu ya Eliott.
[ATTACH=full]198642[/ATTACH]
Eliots
What about ELLIOTT iliweza.
Elliots, kwanza premium…
United ni bure nowadays.
Elliots shida ni Haipatkani kwa urahisi n Inagwara kooo…
I only take supaloaf…mikate zingne zilinishinda
Hii ilikua namba one.[ATTACH=full]198670[/ATTACH]
Selecta ni ya wasee hawana akili
DJ MO umeamua kutumia ktalk to push for the brand
The worst breads I hate ni ile inaitwa kenblest na superloaf. Afadhali mafuko bread
- Elliot brown
- Broadways brown
Boflo ya broadways ukikata na mkono ni tamu sana, alafu ukulie mahali nje na chai mingi ukiwa umekalia mawe.