Best advertisement goes to Petanns

https://www.youtube.com/watch?v=Olp0bVg5UGM

Hii huniua sana.

Pombe, muguka na minji minji inooro tv

Huo ni wimbo au advert? Kama huwezi weka content within 45secs enda kwenye ulisoma uitishe fee yako urudishiwe. Alafu mutuwache sisi waluhya tukuwe. Mbona tumewekwa hapo na kuku na miwa? :D:D:D

Hyo soprano ya huyo dere akisema minji minji ndio hunimaliza

:D:D:D:DMy question too. hiyo jamaa yenu hunichekesha sana.

Enyewe hii advert iko ontop…that driver kills it all…muguka,cham na minji minji…it cant get better than this

“…mumenisumbua sana, hii gari sio lazima ibebe abiria”…“hii matatu haina loan…” hizo hunimaliza

That part too…pure laugh material.

wewe unaweka miwa hapa ni shamba

Hii ni pombe apana ni soda

mwambie ashuke …

:D:D:D

The previous advert of kanjinga driving school too was very good. The driving student was carrying a huge stone as the hand brake.

You got a sense of humor after all?
I never thought you could laugh at anything.

Goliatho. he he he

Hii ni pombe, hii ni miraa, huyu ni musichana… Kishenzi…

Hii ni pombe, hii ni miraa, huyu ni musichana… Kishenzi…

The ‘kichenzi’ in a heavy Mathira accent always gets me.

Hahaha ati “wewe ndie yule goliatho naskiangaaa” hahahaha hio hunimaliza kama kishienzi!

If you ask pettanns what their corporate color is they will say “all of them”.

As they should. I think it would be a nice response

Part ingine humaliza ni ile ati “mtu aniulize akikufa.”:eek::eek::D:D:eek:

Politics, I don’t laugh. Maundu Maya mangi gutheka ndiithugumire.