Beshte yangu atalipa child support for the next miaka 18

Hi guys. So I have this njaruo friend alipata green card early 2000s, siku hizi anaishi steto (Maryland).

Nugu ikapatana na dem msapere ngozi nyeupe (Shiro), jamaa akapoteza akili. Si mnajua venye njaruos wanapenda lightskin? Alafu si mnajua venye njaruos ni beta simps?

Nugu ikapatia shiro mimba. Kumbe Shiro amepangia hio bogi benda.

Boy wangu akaachwa na dem, alafu akapelekwa court. Si mnajua courts hazitambui boy child? Sasa itabidi nugu ilipe child support hadi mtoi afike 18 years.

Sasa bogi benda iko na machungu ikifikiria venye itaendesha trucks na kufanya manual labor ikilipa Shiro child support.

Juzi njaruo ameleta hizo machungu kenyatalk akitusi Shiro while referring to himself in third person ati:

@Swansea lipa child support bila kutusumbua.

Kuna boy alitry kuhepa a black American girl huko. Ilibidi Msee amerudi Kenya.

[ATTACH=full]499260[/ATTACH]

buttco leta link ya hiyo thread nlikua nmesema nitawatch hiyo video baadaye,

Yues si pahali pa kutia mwanamke mimba ovyo ovyo

This ktalk villager bickering again? When will it ever end bwana @administrator ? Ama kaende tena sana? Utilities need to be paid :smiley:

Jamaa ni fala. Ange apply to a lesser paying job…move out of state then apply for a second under table job