Belgium kukutana na Brazil/Mexico Robo fainali? Akikutana na Brazil, ipi itashinda?

Nitamkula.mhindi hapa kiongozi

Spain tayari karudi kwao

Nani atashinda kati ya Brazil na Belgium?

Nani atashinda kati ya Brazil na Belgium?

Simply belgium…but game itakuwa ngumu sana

belgium nyuma wabovu sana hata siwaelewi kabisaaaa ila wakikomaa safari ya brazil inaishia kwao

Ngoja tusubiri kitakachotokea

Kweli kabisa mkuu, ngoja tusubiri