Wadau…hii kenya tuko labda talent ama corruption ikusaidie…swali ni how do I become a prof footballer??
bado mi ni kakijana kadogo…niko 29
…am I too old to dream??
lukaku najua ako kitu 40 lakini ako “24” namimi nawesa penya aje in kenya
Anzia Kogallo
Cheza fifa 18…
You can only become a footballer in a pub team.
Never quit [ATTACH=full]165202[/ATTACH]
[ATTACH=full]165203[/ATTACH]
Only 21…
Taye Taiwo was 25 while his twin was 37 pale Nigeria na hakusumbua watu.
Msee hujoin Aje hizo team za kpl kwanza
Perhaps you join the training squad of a Super League or Division One team in your locality.
anza chini if you can kama unajiamini sana enda club na udai trial