Zimepanda saidi.
Ati wish 2015 2m.
Sad. I bought a Toyota Wish in the year 2014 and paid 1,050,000/-
Kama mombasa kwa ma car sales yards gari ni 3M, ni kusema ukijiletea ita cost 2M or less
Siku hizi SBT na wengine wako na ma offisi hapa and they assist you to cut out the middle man (usually pakistanis) and they don’t charge any fees
Hizo ofisi ya SBT ziko wapi. Dream car ni Jimny 2017.
Elaborate chief
Kutabidi utumie ultra advanced thinking technics u google "SBT KENYA OFFICE utapata…kubaff !!!
[ATTACH=full]497494[/ATTACH]
Magari yana bei ya kipuzi.wateja ndio wamesababisha.kuchukua deni na pia kurahisishwa kwa kupata ndio kwaongeza riba kwa wauzaji. Gari la 2.5m ukilipa pole pole ni 3m -3.4m baada ya miaka miwili ilhali ile bei walikupa ilikuwa na margin pia kubwa kati ya laki tatu mpaka milioni moja kwa magari makubwa.
Jaribu kuiuza hiyo gari baada ya miezi mitatu ndio utajua kenya tunaibiwa bila kujali ndio maana hawa wenye kuuza wana kiburi sana. Ni biashara nzuri sana kwao.
The Kenyan shilling iko Chini zaidi, Covid 19 made guys hold on to their a
Car’s longer because of depressed income,job losses and desire to save more because of Covid 19 uncertainties
Wazi chief but it was inappropriate kunipiga sweep mwezi ikiwa pabaya. Sweeps hupiganwo on payday to minimize damage.
Niaje Wanaru-see?
That is a lie , dealer margins range from 150 k to 300 k for high end european cars .
You clearly are not familiar with vehicle imports.
Importing a single unit from wherever is almost always more expensive than buying the same from those Pakistanis in Mombasa. They enjoy economies of scale plus the small matter of money laundering. In the rare case of price being higher in Mombasa, the difference is usually negligible and is countered by time savings plus clearing hustles.