Bei ya mafuta Wadau

Kuna mtu amesikia kitu shoshote?
Ni kama inapanda ukiona hakuna hullabaloo aka Hurubaruu kwa hasla …

Ifike 227/-, hio 27 ya juu ikuwe ya kutoa

It’s very deep in without lube.

Husla cannot even utter a word due to the thrusts.

Wakipandisha ya ndege ndio nitashtuka

tumia ma3 ama uliskia sugoi kuko na oilfields???
mbona hunanga akili
meffi wewe

Inashuka wadau

Wewe born forest umepita sagana kwa samaki kweli ?

Gavament desperately need that tax money.

Na vile wamepiga foreign trips,hatuna bahati .

Gatume heshimu birrionea.

:D:D:D salute down .

Hapa hakuna kazi Daddy, these xter don’t have a clue on matters governance. All they wanna do is critique Uhuru and his family once in a while, and the Mt kenya hustler get excited.

Hasira, Hasla, hasara.

185 to the litre petrol na 150 to the litre diesel.

Rink?

Wamepunguza na 1 Bob and 2 Bob respectively

It’s about time that religious institutions got taxed.