Bei Ya Kupeana

Mimi huskia watu wakisema ati oooh never buy anything from auctioneer, ni machozi ya mtu. Hehe negor i will buy and go for second helpings. It’s a market based economy. Zoea kusota

[ATTACH=full]474244[/ATTACH]

Very expensive for old repos that have been stored for months/years and will need significant repairs after purchase.

Engines are intact. Unapelekea hapo opiyo wana smoothen hizo mabody. Small paint job and you are on the way.

Ukikosa kununua aty juu n machozi ya mtu,mwingine atanunua na atasaidika

Hakuna mtu atakuuzia gari bei ya kupeana, enda uangalie condition ya izo gari hautazitamani.

Mogo ni shylocks wa log book loans

Proboks ya 100k…hio ni mkebe :D:D

Hiyo KCA Honda Fit bado ni Hybrid na betri inafanya kazi viuri kweli ama ni machos tu?