Bei Ya Choo Itapanda Nairobi Hivi Karibuni. Mtamea Akili. Mtu Ashonde Kwake Kabla Ya Kuja Tao.

Hii serikali itatumaliza. Mtu anye kwake sasa.

Tax Collector anadai Kodi yake

Hiyo mavi yote mnatoanga wapi mkapa ya kupeleka town.

Its been used as fertilizer raw material for decades but NIABM

Inafaa kuwa 70bob ndio idlers wakae nje ya tao.

Biashara ya portable choo iko na faida. Bure kabisa. Ngombe ici

:D:D

umeffi news.

Idlers should also be charged. Anyone sitting idle in city parks should be arrested and be made to clean up the town

And then get paid for cleaning up. No such thing as free labour. Nairobi si ya mama Yako.

Ni wakati mwafaka wa idlers wa maandamano na kurusa Mawe kutajirisha wenye nchi.

Alfajiri waamkie kiamsha kinywa cha Sima Kwa samaki kule kwenye vitongoji duni Kisha waje mjini kunya wakirusha Mawe Na teargas.

Kula Sima kupindukia hakuruhusu yeyote kumaliza masaa Matano bila kuenda msalani.