Bei imezidi Unga..Amam Unga imezidi Bei?

https://scontent-lht6-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-9/17883632_621567278034136_615674021718365522_n.jpg?oh=0d139ddde1aa18f4d78ab14e1c121d37&oe=595BD99D

1 Like

:D:D:D:D:eek: mad comparison. uliendea PEP btw?

4 Likes

Leo tumeamkia eti maziwa ya brookside half litre ni 76 bob

Ati kii? Io ya kinyarra sigusiiiii. Maziwa ni 47bob hapa kwa local super cleanshelf

Long life ama ilara fresh? Na ni wapi huko?

Mimi nanunua tu ya ATM. Hiyo ya packet huku inauzwa 65. Campaign money tings.

3 Likes

:D:D:D:D

Half litre ya maziwa rose from 25/= to 28/= in my estate

1 Like

Wapi huko?

Longlife, hio ingine fresh ni 65

mimi na chapa tea bag na ndimu…najipea shughuli.

9 Likes

I must check prices today. . .

unahitaji unga kwanza ndio upate nguvu ya kuponda hao wa mia moja

1 Like

A Raila right man Anwar Saddat pale kwa zukabaga, i think on Friday he said, kuna artificial shortage of milk being created esp ya Brookside. Kumbe it was to happen this fast,

1 Like

gathara~ini:D

1 Like

Wether zipande mpaka miatano bado tutaikunywa, same with beer

Kwetu ni 56.

We have always bought masiwa at 55… Good thing juzi my progeny said that he is beggining to enjoy the black tea I always take. Soon masiwa kwangu itapigwa marufuku.

1 Like

Maziwa ni 50bob litre kwa dairy. Fresh from the udder. Kwa hivyo ukiuza kwa estate 250ml for 20bob a litre will give you 30bob profit. If you sell 100 litres/day that’s 3k or 90k a month. Less transport, kanjo etc 20k unabaki na 70k nett.
Wah!

2 Likes

Mimi nimeamua Dairy Top kutoka Uganda at 45 bob if you buy by the carton. Brookside na Tuzo zimepanda sana. 1 carton of Tuzo imepanda from 495 to 750 in a very short time.

Hamia laughington daddy. Mateso ya paipu itakumaliza.