Bei imezidi Unga..Amam Unga imezidi Bei?

This country is run by cartels.

Kuna shortage ya maziwa hata kwa wa-mother wa kupima maziwa, saa hii tunauziwa 1 litre at 60 up from 50 bob.

Si mlisema pwani si Kenya? Hiyo ni imported.

Hii ndio maziwa inatambulika kwangu sahi
[ATTACH=full]93396[/ATTACH]

By the way I have been following this unga at 150 narrative by surveying supermarket s the last three months and the only flour at 150 is hostess, which is marketed as premium. How many households use hostess?

Huku hakuna kubeba ndoo ukitafuta maji

Mi nimetosheka na uji moto. Maziwa nimeachia watoto

Maziwa imepanda sana Huku half litre imetoka 15 to 20.

Hostess ni 188/- (as at last week)

Must be somewhere in Rift valley where everybody owns a cow

Enda saa hii then tell us the prices you will find.

North Rift to be precise Mkubwa.

Ten mins, it’s just downstairs.:D:D:D

Hapo kwa Unga inafaa ichunguzwe. Maziwa sina shida nayo…I can do without.

Unga mimi hupitia kwa mathe once a month mahindi inasiagwa na nakuja nayo Nairobi. Veggies pia mimi hupikiwa lots of kienyeji alafu nabeba. Maziwa I rarely take, unless kwa breakfast cereal. Mostly mimi ni tea bag na maji moto tangu nikue varsity. But I guess this will change once I decide to have another kid or two

You are right…

brand today…Tuesday last week
Tajiri 140…106
Tupike 140…118
Pema 140… 108
Shujaa 140…108
Soko 142… 118
Jogoo 148… 124
Hostess 188…150
Ugali Afya 179… 149

Ya Wamalwa ya 75 itasaidia saaana, naingoja

watu wa pwani mna bahati itauzwa pwani pekee

kuna mtu ameskia kuna shortage ya unga Wa wimbi? until then let me enjoy my porridge.

WTF! imepanda hivi within a week. By August tutakuwa tunakula mende kama ile research ya JKUAT.