Begging

Found this screenshot on some facebook group. Na kwani siku hizi wanawake default setting yao ni kuomba pesa?
@Benn_Dover tumiana pesa mrembo anunue bundles aone picha zako :joy:

1 Like

Itisha mkia in exchange for cash. She will either disappear or take it and earn her airtime

Sikuhizi nikiona such text na dem hata sijawahi meet nguvu inaisha. I think madem pia hutumia hio mbinu kutest jamaa kama ni fala.

2 Likes

…naona umefunguka macho. Usipeane pesa ovyo ovyo.

Rule of the game:

Nipe nikupe otherwise mdem ata ku disappoint

1 Like

I thought ni pesa mob kumbe ni bandoos

2 Likes

Haka kanaomba na adabu… Sio kabaya

Anyway hakuna mwanamke hapendi pesa one will spend for pussy directly or indirectly

1 Like