Before and after - waaah

image

2 Likes

Kweli watu hutoka mbali :smiley: Anyway his wardrobe has not changed much.

Ni Meno Tu haikunona

1 Like

Kweli wakale nikama wako allergic to mwosho wa pesa…mtu anakaa tu zinjanthropus before and after.

3 Likes

Jamaa amekula akageuka chura

3 Likes

1…2…3 sema Mandazi

MANDASS…:camera_flash:

3 Likes

Huyu ndiye nani hasa hasa

Still evolving…

8 Likes

Yer evil! :rofl::rofl:

2 Likes

Kweli pesa ni sabuni.

1 Like

Hapa haijasafisha huyu kipmeno, huyu anahitaji jik na Ile Omo powerform

kenya unhealthy gain weight is an achievement :roll_eyes:

Hehehe, you’re the Darwin of the digital age

Nikama anakula pizza daily na anakunia once a week

Hiyo ni nilote ugliness haiwezi oshwa hata na damu ya yesu.