Been away for a while. Happy New Year guys i hope mko fine.

Hekaya badaye.
Meanwhile iko shida na hii mitambo. advice pliz.
i dropped this phone, n now imekwamilia hapa.
[ATTACH=full]27075[/ATTACH]

Boss iphone peleka kwa fundi io c techno ety utapewa mawaidha apa ifanye… Shida kama hio lazima kavu ka tatu kuenda juu, starehe gharama aisee

3 Likes

Umejaribu Kuzima na Kuzimua…???

If bado haiwork, see a physician…

5 Likes

Hio ni iPod? KETI PA-------------------------------------->>>>>LE V.E.

2 Likes

wako wapi swahili Nazis ??

1 Like

have you connected it to itunes like it asks?

i have tried that sir! lakini bado!

Hehehe…Uzuri wa swahili sku hizi ni ya selected few…Iliachiwa sisi watu wa kusaidia kuskuma life…sisi wote tunataka kuongea na mapua na kuwa na class…Isfaen…Tutakiropokwa na kukiandika tunavyojiskia

kindly take me through. i does that everytime nimeiwka kwa charger.

Connect the phone to a comp which has the latest itunes version and a connection to the internet. Odds are it needs a reset or some firmware update

Ni happy new year unatu wish ama Ni kazi unatupea?

2 Likes

both

It happened to me before. Just let the iphone drain all the charge and when you connect it to recharge it will reset.