BEEF ZA MADEM, HAHAHAH

Haya mafemale rappers kenya wameamua kanukee>>>>>>
femion hapa aliweza.

https://www.youtube.com/watch?v=qEpRA2PKDG4

alafu dame super akatokea na reply+ parody mambo badder /// cat fight iendelee

https://www.youtube.com/watch?v=GkylBp7RalE

3 Likes

[SIZE=7]U
[/SIZE]
[SIZE=5]na hiyo laini ya kuchizisha kama Conje ni insensitive, nay, very very cruel. utoto mtupu…[/SIZE]

3 Likes

Hapa utangoja comments, watu wamesota hawana bundles.

1 Like

mimi ni team Femi-one

“Madam, labda ujaribu Kush Tracy, aaaah sasa huyu nimtaja?”<—Fire

2 Likes

Wewe watchman tuna wifi kwa nyumba hatusumbui.
P. S maybe I am getting old. Watched each for 5 secs and found them wanting.

2 Likes

Ety femiplan apo nayo njeri ameweza, lakini ngoma zake zinaonyesha ni wakukam, uyo femione pia ana lyrics za class one. Wote waketi pale

3 Likes

There’s that thuggish grin she did sijui biting lip, almost puked my morning truffles goddamit.

4 Likes

but wote wanakaa NV kwa hii rap game,but theirs bars not so bad for beginners :D:D:Dusiwapee kiti kwanza
skiza hii pia ni reply ya femiplan one

alafu hii

what is this garbage?

1 Like

Enyewe Kenyan music iko down…Kwa hizi streets kuna song inaitwa “Dus Nyau”…Yeah… “dus Nyau”

8 Likes

Kuna ingine ‘cheza kama umepigwa na radi’. It killed so many of my braincells last night and I can’t get it out of my mind. Thitima is the drop don’t know if it’s a chorus too.

2 Likes

kenya na music ama football ni plobrem chida tupu

the funny thing ni ati hio song inafaa ufanye kuokoka :rolleyes::rolleyes::rolleyes:its a praise and worship by the way

eh? eh? eh? kabla ni waste bundles wamesema nini kuhusu afocando?

1 Like

Hehe at least I found this beef entertaining.

[ATTACH=full]67323[/ATTACH]
Hehe wa! Sijamada hii manenos N umenifanya niraruke kicheko eh! Please nimoe rink hehe

you would…if your idea of entertainment ni malware wakitoana nguo mbere ya umati…peasant entertainment…

1 Like

[ATTACH=full]67326[/ATTACH]
No…no u can’t use this beat ferk nimetoka thread ya ma throwback N this bullshit. …ferk these weak bitch fake rapping not even have respect for the game as trickin thots. …ferk control was such a major beat -to be abused by this no talent hata kidogo whatever this excuse of an “artist” did. Man am so pissed hii imeni trigger…

1 Like

Truffles:D:D:D:D:DMkhombero labda

2 Likes

She must be a lunje ata staki kuskia