How much does a bedsitter go for in your area?
In Langata a bedsitter with a bathroom and a kitchenette goes for between 13 - 15k.
In Kileleshwa bedsitters AKA sqs go for as much as 25k per month.
How much does a bedsitter go for in your area?
In Langata a bedsitter with a bathroom and a kitchenette goes for between 13 - 15k.
In Kileleshwa bedsitters AKA sqs go for as much as 25k per month.
Niggas paying 25K for an address. Damn!!!
eti a bedsitter with a bathroom and a kitchenette? kwani kuna yenye haina?
Unalipa 25k uishi kwa bedsitter ni akili huna?
25k mahali kama Utawala ama Ruai unapata a full house with an own compound.
Kuwa serious. Bed sitter goes for around 5k-8k. Stop paying for a name yet you are suffering. 25k unaweza pata 3 bedroom nayo huku kasarani ruai and the house finish is top notch
Bedsitter huko Kilimani Kileleshwa rafington zinaitwa ‘Studios’ na zinaenda mpaka 35K, 1 bedroom 40-50K.
Wakenya hamna akili hata kidogo. Mnatumiwa vibaya kama mbwa
3500 - 5000
labda ni zile furnished
25K ni 3 bedroom house Rongai. But I know a bank manager living in a bedsitter kilimani. Ukimuuliza anaishi wapi he is quick to say Kilimani. Class is the enemy
Hii ni ujinga. MTU amawaste pesa juu ya jina pekee
25k unaweza pata furnished kweli?
sijui ndio maana nimeandika labda
living beyond your means
are they complaining?
This 25k bedsitter works for ladies if they walk to work or entertain random men for 5k per hour.
Siwezi
Hapa kaptagat road hakuna bedsitter chieth
Mkuu uliachana na hii soft meat?
[ATTACH=full]496980[/ATTACH]
The law should have minimum house size as 1 bedroom as was kitambo. Zamani even servant quarters were supposed to be 1 bdrm. One should not live in a bedsitter kwa student hostel then akifanya kazi bado anaishi bedsitter.