Mafans wangu am back with a bang. Najua mulikuwa munauliza where your favorite talker alikuwa ameenda…ilibidii ni tembee huko Waginge no tulie kidogo lakini niko mpaka mahaterz walie.[ATTACH=full]92744[/ATTACH] [ATTACH=full]92745[/ATTACH]
Troll troll… Ignore by typing the word kihii
Cheza chini meffi
iko sawa
mafans ni wewe na watu wa kwenyu
1 Like
Kihii kia ngoma. waitina
Mafans ni akina @uwesmake na @Wakanyama
2 Likes
madawa ni za nini mingi hivo
Jaribu kula kama mwanaume
2 Likes
Hizi ndio vitu zinafanya wanaume wanajifanya kama watoto.
2 Likes
Siwes kula
pia si tushakula na hatusumbui…meffi
Za kupunguza ujinga
3 Likes
…hizo madawa ni supplements…instead of supplements, na unapenda food, why not eat food iko na hizo nutrients…instead of swallowing those 3 capsules ndio upate Omega 3, Kula samaki instead
There’s a blonde who landed here yesterday calling herself Jill. Unaeza kuwa unashare na yeye hio chakula yako ya mbwa.