bed rest

hii mwili haina heshima kwa general,

Ulikula mutura mbaya… Pole. Uko na wakukupikia?

Ugua pole

nitakufia kwa hao na hakuna atajua mpaka ninuke,nikupatie direction?

Pole shemeji,prostate cancer ni mambo mbaya.

@Jirani ,bout iko hatakama nitakuja na wheelchair

:D:D:D

Ukimwi inauwa watu sana enda hospitali upewe ARV

Pole wakanyama dear…

Ugua pole Wakaquarter.

Leta my Bro. Ukidie hata @admin hatatusamehea. @Jirani ndiye atafurahi

Ugua pole Wakanyaks

pole mzee

@Wakanyama ni mtu wa watu. Wa mama wote wa ploti ni bibi zake. U know how it goes. Pucci for rent
Pole zangu pia.

kwani bibi yake @uwesmake ako wapi?
Otherwise quick recovery, kipii

Ugua pole general kiguoya. Sasa kazi ya kuchimba choo imesimama?

leo utaitwa waka zote…
wakamtura
wakamatumbu
wakathufu
wakasungura
wakasheppart
wakascumpaka
wakapigsty
wakageneral
etc etc

pona haraka , lakini kwanza kimbia hosi uchunguzwe kama uko na mad cow disease

umewachia nani soupamarket na pigsty? Pea @Okiya control biashara isidunde. Ugua pole

bure kabisa Jenerali aina gani ana andikiwa bed rest