Uku kuna stress kweli.
Switzerland uses more antidepressants than Vumbistan.
Stress ya nini na uko heaven,
Hakuna stress ju wanafuga ng`ombe?..[SIZE=1]sijawatch vida[/SIZE]
huko lazima nifike while riding a BMW 1200 GS.
Iyo village inanukisha from tourism ,
insha’Allah I’ll get a winter vacation home (cottage)… uko Alps in a few.
Hiyo baridi iko hapo bonobo hawezi make
Ghasiaa… nimekuwa kwa -45 na bado niko hapa …
Si at least ungekufia hapo uache kutusumbua hapa
Malisa yeye
Swiss Alps, summer time ndio unapata weather ka ya Limuru March.
Switzerland has been on a heavy PR drive and it looks like it’s working.Hizi videos ziko kila mahali