Beats studio 3 wireless headphones

Sistangu alikuja kutoka United States of Ameruka aka ni letea hizo headphones four months ago. They are red in color, no single scratch still as good as new. I don’t use them much, so nataka kuuza. Anyone who knows about headphones anajua Beats Studio 3 ni mambo mbaya. If you have 20k hit Enigmas inbox.

Going by your posts in kijiji, I suspect you are at least 40. Why would your siz get you such a gift and not imported lanyes?

Zawadi mtu huwa hauzi. Nuksi itakufuata.

Sometimes kama mtu hana pesa ya ku nunua beats anafaa tu kunyamaza badala ya kuongea mbaya

Siuzi kwa ubaya. Most of the time nikienda rodi natumia earphones za Samsung. Beats ziko uncomfortable ukivaa for long time. Works well when you activate noise cancelation but inafinya kichwa sana. Pia na kuanga na kichwa biggie kiasi.

Bora dada hamind uuze ni sawa.

Juzi you were asking about loans sasa umeanza Kuuza gifts. Are things that bad?

So tuseme wewe na @kichwakibovu mko same whatsapp group?

Alafu Ukiuza unaenda brothel hopping mpaka che

Niko na ear phones za boss, with noise cancelation, hio kitu huwa inafilter sound, you can hear everything clearly when watching movies, I wonder why such products aren’t available locally

Oooliskia wapi? I hope that you don’t believe in such shiet and that you are just being sarcastic.

Chukua alufu adek.

Gift? Pay it forward to a fellow villager. [SIZE=1]nasema mimi.[/SIZE]

At least toa kakitu buana

Loan nilipewa kitambo. Shops ziko tatu Sasa. Things can never be better. Siezi kaa na gift worth 340 dollars na siitumii na naeza I change into money and put it to use.

Chukua 5k. Jatel