I have a nigga here in ujeru…a kenyan nikka…jamaa is in a r/ship with a kenyan singo mum. The lady is older than dude by kedo 7yrs. Ok sitadanganya uyo beshte ni blaze. Anyway Watoto(2) wa huyu singo mum wako Kenya lakini after meeting Blaze wakazaa mtoto mwingine apa ujeru. She is now one and a half y.o. According to Blaze ni huyu singo mum alimseti na hio mimba ndio wa seal union.
Now it’s like this every time tunatoka ulevi na Blaze na aende diggs mwoman umletea terror ati oooh kazi yako nikunywa tuu na wewe ni baba. Yeye uchocha Blaze hadi blaze anamshika war. Normally waki fight ni mimi uitwa …the lady knows me and blaze are tight budds.
Akishikwa war yeye ujifungia choo and calls me. Jana after ile break fast show nikaitwa…kwenda kwa blaze ni 10mins via undertrain train…kufika ni Blaze anafungua door ati jay huyu namalisa.
Mwoman kuskia U.N aka Jay amekuja akatoka choo. Blaze anataka mshika vita lakini am bigger and stronger than him nikam restrain. Mwoman akapata moto ati wewe Blaze mbona usikuwe Mman kama jay. Nyi ulewa pamoja bt he is more mature and disciplined…mtoi alikuwa amelala.
Hii statement iliumiza blaze niaje…alirukia this mwoman with supernatural powers sijui zimetoka wapi…nafikiri ilikuwa hasira…manze ngumi mzito. Mwoman akatoa nduruuu ya kimataifa.mtoto aka amka…Blaze bado na super powers ameni over power ako all over mwoman…manze what i saw next broke my heart…
ule baby daughter ametoka kwa bed yake akilia…amerukia Blaze and with all her power she starts biting blaze to wachilia her mom…anauma and also hits him with her small hands na ukiona she is using nguvu yote ya ki baby.
Swali ni will this kid ever forgive her daddy after kuona hii and i think si mara ya first…Anyway nilitoa blaze inje tukaenda kupewa tei while i put sense into his head.
Kwani how do u refer to your buddies? I see nuthin wrong with the term my nigga…wacha uocha meffi. Hata kina 2pac na Biggy waki rap hao ushinda wakisema ma nigga…fala jinga wewe