Be in the Loop.

Kuna mahali nimesikia following this year tax season kuna watu watabebwa kubebwa. Audit za dirty money chini ya mattress especially wale watu wa ‘local tycoon’ na ‘young enterprenuer’ kaeni chonjo.

There’s a saying “death and taxes are the only definite things in life.” Uhuru anajua hawezi uza brookside kulipa Eurobond mbili.

How comes @spear doesn’t know these ?

@spear ni bure.

Enda usikilize tena ujue hio udaku itafanyika lini exactly

Sikuskia kwa radio. Wewe kaa ukijua

Long overdue, @Chifu ,tik tok utatii

Mimi nili file NIL…

Wacha wakuje… Mimi hata sina mattress.

Useless propaganda ndio zake.

Nil returns forever. It is just the other day we saw Duale’s company accused of not paying billions of taxes. Mps and their 800k salos dont pay. Sasa mimi nitoe douh zangu k2a mfuko nipelekee sirkali ndio zkalipe tender zenye haziko pale NYS? Asha. Noo. Apana.

endelea hivyo hivyo. when the taxman knocks, ndio utajua haujui.