Bcom

[ATTACH=full]497899[/ATTACH]

look for money, and various ways of making money

Degree ni karatasi. Learn a trade and money will come your way.

@Sambamba na bf wake @magreb walienda kijichocha na degree talk yao wakaambia wakae na mama zao

The only sensible bcom speciliazation ni accounting, hiyo naye mtu amesoma cpa 2yrs can do that job. Hizi zingine zinaeza fanywa na nyanya wa 60yrs

My high school teacher told us BCom is a general degree and not worth the time. We disagreed kabisa because those of us doing Econ were awed by the name BCom. He insisted that BCom is at the same level as BA but BA had an edge because it made you flexible while BCom boxed you into nothingness; he preferred a BA (Econ). Well now I agree with him, BCom ni bure, you get out and start competing with watu wa CPA stage one. All both of you know is how to write receipts, take stock and write a balanced sheet.

Kama uko na passion ya kile ulisomea. My advice is usikate moyo. Lakini kama mahitaji ni mengi look for a quick job to hold you down.

There’s no such thing as a “stupid course”, only stupid people

Bcom is a good degree usidanganywe, you learn how to run a business.

First of all inafaa ujue employment ni scam bro. Jaribu kufanya biashara.

Thats a jewel right there.

Nilitamani hii course mbaya sana juu ya hio jina commerce.

Huyo mbwa alienda kutafuta degree ndio aandikwe kazi halafu aibe akuwe tajiri. Alisikia vile wasee wa procurement wanaiba na magunia akasema baaas! Degree sii ya kutafuta kazi, I will not tire kuwambia. Mimi mwenyewe Niko na mbili lakini sutafuti kazi. Najifanyia kazi mwenyewe. Ole wako ukiendea degree ndio upate kazi.

prioritize education opportunities that give you hands-on skills

Jifunze kuwa salonist u run salon yako uone venye iyo degree itakusaidia na sio jokes

Hakuna wasee mimi nachukia kama Business Administeation graduates wenye hawajawahi run hata kibanda ya sukuma. Msee anaendea MBA ndio arudi kuongea kizungu kwa biashara ya wanaume wengine while expecting a higher salary eti juu ako na masters.

Babu Owino detected. :rolleyes:

Look at what amazes a degree-less fool.

Shida ya hiyo specialization hawaangalii merit na canvassing iko juu. Niligraduate nayo 2014 but hv been doing totally different things. Nakumbuka county nikiletewa a clueless guy tulienda naye interview nimfunze kazi after yeye kupenya (nilikuwa internship huko that period). I left.