Pale shanghai stadium…
[ATTACH=full]113436[/ATTACH]
Starting Lineups
[ATTACH=full]113434[/ATTACH]
Watu wa kukamuliwa na muhindi hapa naweka O3.5 - 1.74
Pale shanghai stadium…
[ATTACH=full]113436[/ATTACH]
Starting Lineups
[ATTACH=full]113434[/ATTACH]
Watu wa kukamuliwa na muhindi hapa naweka O3.5 - 1.74
saa ngapi io mechi @123tokambio…kuna channel inaleta live?
Wanadai 14:20 lakini mechi bado anza. Sijui kama Supersport inaleta, but niko kwa Kodi…
Supersport wanaleta ya leicester na westbrom.Nimeenda thru all the channels na sioni place wanasema io game ndio next
Mechi ishaanza sasa. Inakaa Supersport wamelenga hio game…
New signing to shine as usual
Wenger ametweak squad sana.
Hames aka James ashaanza kutesa Elneny pale defense. Wenger anasumbua huyu kijana sasa…
Bayern penalty ndani…
[ATTACH=full]113437[/ATTACH]
Hakuna pena cech atashika?:mad:
#tano tena
[ATTACH=full]113440[/ATTACH]
Na huyu mzee anapendaa hii position?
Hehehe…
Nimeishi kulia hii maneno na Cech amekataa kuniskiza
:D:D
Ndio sababu @uwesmake anapenda kuwa nyuma yake
Alafu uyu lacazzette:mad::mad: one on one
:D:D:D:D:D:D:D
Na pia Ozil ameshindwa kuconvert open chance. Wasianze ujinga this early…
ya lcazzete pia:( kama ivi ndo tutakua league ikianza ni kunoma
That’s why Wenger should not let Sanchez go, at least he is clinical.
Na hivo ndio OG12 ataretain position yake…
And he’s proving better at assisting too. But lets give Laca time…