Battle of the Dudus

Mazda Demio, Nissan Note and Suzuki Swift are giving Toyota Vitz a run for its money in the dudu section.

vitz inadumu na ni bora zaidi kuliko izo zengine,

1 Like

Kuna zile midudu mibaya Colt, Note Nismo na Swift RS, zinakupita tu fwaaa bila adabu pale highway.

Gari ni toyota.

3 Likes

Dudu ni any 650cc ya 30km/l or better. Hapo ndipo natambua dudu. Gari poa sana kwa mfuko yako ukienda errands. Bora usiende functions na events nayo uende na your decent moti.

Note ndio baba yao

Kuna mtu alisema ati CX5 ni a raised Demio.
Natambua Vitz

2 Likes

Mazda demio tunajua hio ni ya madem especially single moms wanapenda za red. Some comes with manual transmission.

Kuna momo najua ako na ya red KDL na ndani iko na hio kitanda ya kubebea watoto wadogo

Suzuki Swift iko na sporty design mzuri na kuna some comes with manual transmission

Beshte yangu ako na ya white KDJ na huwa anaenda masafa marefu na hako ka kitu.

Nissan Note E power is a great invention from nissan but hizo Notes Medalist Pure drive Autech hizo ni bure when it comes to gear box.

Beshte yangu alikuwa nayo E12 sijui alifanya nini Gear Box ilikufa.

When it comes to Vitz that thing has variety 1000cc 1300cc 1500cc hybrid but sasa ni costly.

Beshte yangu aliuza vitz akabuy Diahatsu Mira

2 Likes

Kuna dem uendesha manual?
Nissan Cvts are guaranteed to fail.

Nataka gari ya 300cc for daily errands. Toyota Corolla yangu ikuwe tu ya masafa marefu.

3 Likes

Na honda fit?

2 Likes

I miss Toyota Starlet…ama newer version ni Vitz

I thought wewe ni billionaire?

Nimedowngrade to millionaire

Kuna dem around 28 huendesha DMAX isuzu como za mzae wake

I saw a diesel mazda demio with a friend, a guy who has a hilux double cab as his daily drive, he swears by this kadudu.

Same way they say prado J250 is a raised probox…hao ni watu hawana gari

3 Likes

My old man also swears by his note. Huyu ni mtu a few years ago hungemtoa German machines lakini sai note ndio kusema yote

1 Like

Starlet ilifanya nikatombewa dem nikiwa Campo banae :grimacing:, nigga ilikuja nayo ku pick mpoa wangu on campus night…yet I had hustled the whole week to get fare ya nganya na za afew drinks pale club zigzag

7 Likes

Vitz ndio gari hapo, I keep a vitz 1300cc 2nd generation na walai hii gari haiwezi kufail, Ubaya ya vitz ni a very basic interior.

1 Like