Battle: Dar Es Salaam vs Nairobi

@Joto la jiwe na @mkikuyu akili timamu walienda wapi?

Mwasiti yuko wapi nimuitie ichoboy

Hapana nimeshangazwa na ulivyo’give up’. :smiley:

nime give up kwasababu tayari nilishatimiza wajibu wangu wa kuitetea tz mbele ya wakenya kule jf.

huku KT nimekuja tu kulainisha misuli. hata hivyo mpaka sasa sijaona mkenya wa ku-battle na mimi.
au kama vipi, weka hoja nzito mezani watu tuingie kazini.binafsi napenda sana battle na wakenya.

Mimi ni mgeni humu. Ngoja niwe senior villager kwanza. :smiley:

siku ukiwa tayari nitag…but make sure you come up with a meaningful topic regarding tz vs kenya or vice versa.

ukija na topic ya kijinga usinitag

Haha sina haja ya hizo battle za ke vs. tz. Lakini hoja zingine za maana nitazaleta.

pamoja sana.

Hapa hatunaga ujinga mzae kama Jf

Hapa ni matusi mazito mawili matatu alafu battle inaishia hapo. :smiley: This is Kenya buana! :smiley:

hata mimi sijaja hapa kufanya ujinga.

:D:D:D…

Hakuna kufa moyo hapa
Tanzania yangu sitakuja ikana never
nitaitetea kwa vyovyote vile
mie nipo safarini nitakapo rejea Tanzania
Lazima nikeshe Humu kuipigania nchi yangu
mwendo ni ule ule

Vipi mkuu? Naona upo. Safari njema jombaa. Ila humu hamna vita. Hamna cha kupigania tena. Naskia sauti zenu kwa mbali zikisema eloooi eloooi…malizia Ustadh. :smiley:

Keyboard warriors hatukufi wala kupelea Tanzania forever

Breathe in, out and relax. You are okay here. This is a safe place. :smiley:

Amina

Mohammed, Amb. Cabinet Secretary, Education.

Yule si kunguru pia

Hahaha. :smiley: Nadhani kunguru lazima awe na wowowo la kufa mtu. Ngoja nifanye risachi kwanza.