kuna baadhi ya Wakenya wanatangaza mambo mabaya kuhusu nchi yetu…leo mnajionea mkiweka thread tofauti ya kujigamba vile mumetupita na hasa kutuonea wivu watanzania kwa hatua tunazopiga katika nyanja za uhusiano wa Kimataifa na Maendeleo kwa ujumla. Na washauri wakenya wakubali kuwa Mtoto hawezi piga baba bali hufuata ushauri wake. Sisi kama waonesha njia kwa upande wa ki uchumi, mnastaili kutupa heshima na msijidanganye na ndoto ambazo haziwezi kuwa za ukweli bali twajua ubinafsi ndio umewajaa. kweli tabia haina dawa. Kwa mawazo ya kibubu ni kukosa muelekeo kwa kushabikia kitu usichokijua! Maoni yangu ya mwisho nasema mfuate ushauri wa kaka zenyu wakenya @Alchemist@Jakoyo@Rene Descartes ambao walisema Wakenya wataumwa sana lakini watapoa tuu, kwanza wakome kuendekeza ukabila kwao. Tafakari hayo.
Daresalaam yenyewe msishangae kwani huku si china
[ATTACH=full]45820[/ATTACH]
Mkapa bridge longest bridge in Africa
[ATTACH=full]45821[/ATTACH]
Unity bridge Imeshikanisha taifa mawili … Aisee wakenya hili daraja sio mchezo, nadhani hata la Mkapa kule Rufiji halioni ndani hapa
[ATTACH=full]45822[/ATTACH]
Bernard kiwia na Oscar hilonga Watanzania ambao wameendelesha uvumbuzi duniani. Uvumbuzi huu utawezesha pia Kenya inawiri.
Twajua vyeo vote vya chama cha East African community Sisi ndio tumeshikilia. Tukiamua tuji ondoe kwenye east Africa yani TEXIT. Najua Uganda na Rwanda yatatufuata. Twajua uchumi wa kenya ni TZ imeshikilia na tukitoka basi itadidimia.
Twajua kwenyu Sekta zilizokuwa na mchango mkubwa kwenye ukuaji wa GDP ni Biashara. Tukifunga Boda basi umaskini unawaingia.
Mnajenga flyovers wakati watu wanakufa njaa. Kama werevu ndio huo naomba mie nibaki nyuma. Jana najitupa kibandani kwa Mama john mkenya . Aisee !!!
kama wakenya mwakula vyakula vya “nipee nikufee” basi mimi nawaonea huruma.
[ATTACH=full]45827[/ATTACH]