BARRICK WATOA TAARIFA MAZUNGUMZO YANAYOENDELEA NA SERIKALI YA TANZANIA

[ATTACH=full]179647[/ATTACH]chakubangaaaaaaaaa

Jiwe atajuta kumpiga risasi Tundu Lisu kwa sababu sasa anaendelea kuaibika

Nina wasiwasi na elimu ya chakubanga

Chakubanga na jiwe no washamba sana

chakubanga ni comedy,wa kumsamehe bure tu anaweza kulamba hata mavi ili mradi mkono uende kinywani ila jiwe ni mental case

Hahahaha maajabu haya mkuu

Hahahaha jiwe ni muda mrefu sasa sijawahi kumsikia akiongelea makinikia

Sawa ni jambo zuri,ni matumaini yangu watafikia muafaka…

!
!
So Maongezi Hayo Ni Endless Au

Binadamu mwenye ubongo wa zinjatropus,kwa karne hii huo ubongo utaweza kutafsiri mambo??ubongo wenyewe unatafsiri data kwa spidi ya biti 0.00009 kwa siku,sasa unajifanya kutaka kutafsiri mambo mazito!!yule ni wakuhurumia tu

KABUDI Pambana tupate chetu, mimi niko driving school kwa sasa

Ni bora usubiri bahari ya hindi ikauke inaweza kutokea lakini sio hao jamaa kulipa madeni ya kukurupuka

Hawa ni wafanyabiashara lakini pia wanadiplomasia mahiri. Waliona ile drama ya ripoti za makinikia za uapande mmoja na kubaini kuwa kuna tatizo kubwa. Na hii ndiyo njia ya kidiplomasia na kitu-uzima ya kukabiliana na tatizo walilobaini: mazungumzo yanaendelea bila haraka wala kikomo. Methinks zaidi kinachozungumzwa hapo ni ushirikiano wa siku za baadaye na siyo mgogoro ulioibuliwa na kamati za makinikia.

Watatulipa tunachostahili

Kazi ipo na jiwe lenu sijui la Kimondo!!!

Hiyo barua au taarifa atakuwa kaedit Msigwa ili kuhamisha habari za korosho, hakuna mazungumzo wala mtoto wake!!

MKuu wachina hawanunui hii Ya Tanzania, wao wannunua ya CANADA ambapo automatic na hii inakuwa ya kwao.

mazungumzo yataendelea weee hadi 2020 hakuna thumni italipwa; Mwisho yatashindikikana na jamaa watakwenda mahakama za nje na tutalipa hayo mamillion pamoja na hasara walizopata kuzuia makontena yao bandarini wakati sheria inawapa ruksa ambayo tulisaini wenyewe.

sasa tukigoma kuwalipa ladba bombadie zetu zote ziwe zinapiga root humu humu yaani Songwe - Dar - Songwe; zikitoka nje tu zinakamatwa tena.

Hata mwanzo walifanya mazungumzo hvo hvo wakafanya upuuzi, then now sizani kama watatoka na la maana sana vile watu ni walewale so acha wamalize waendelee kula pesa zetu