Baridi ya Nairobi - 16°

[ATTACH=full]115344[/ATTACH]

Pale uko temperature ni ngapi?

[ATTACH=full]115348[/ATTACH]

KITALE NI 12

What? Yenyewe leo hiyo baridi imekuwa mingi. At this rate we might need heaters.

:eek:

niko Na heater ingine hapa lakini ni kama inaniongezea baridi tu.

wuehh. watu Wa aberdares wako 1°

mnateta na 16 kwetu ni joto sana

Bora inatoa some amount of heat. . .

Wapi huko?

[ATTACH=full]115353[/ATTACH]

[ATTACH=full]115354[/ATTACH] I hope ulevi itakuwa imeshika by Saa sita otherwise I will start sobering up as the degrees drop.

I can’t. If I had a choice I would choose 30 degrees constant.

16

Nice and cozy:)[ATTACH=full]115355[/ATTACH]

Leo Nairobi, we had a low of 11°. It won’t get any lower than that through the week.

Lucky you!

How do you survive?

Kama uko na momo uko salama :D:D:D:D

:D:D:D:D making water your sole enemy